Unga wa sima, mahindi yaadimika

Huenda maghala ya serikali yasiwe na mtaji wa kutosha wa mahindi.
Hii ni baada ya baadhi ya wasagaji nafaka kufunga shughuli zao kwa kile wanachodai kuwa ukosefu wa zao hilo kutoka kwa bodi ya NCPB.
Haya yanajiri huku wauzaji wa jumla sawa na wale wa rejareja wakilalamikia ukosefu wa unga, jambo linaloathiri biashara na uhusiano wao na wateja.

Tags:

UNGA Ugali mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories