Usajili: Dakika za lala salama

Tume ya uchaguzi na mipaka, iebc, imepuuzilia mbali madai kwamba mashine za bvr zilinaswa na polisi kutoka kwa washukiwa watatu waliokamatwa hapo jana. Aidha washukiwa hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho kujibu madai ya wizi wa vifaa vya iebc. Denis Otieno ana melezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories