Usajili wa wapiga kura

Vituo vya usajili wa wapiga kura vilionekana kupungukiwa na shughuli katika siku ya mwisho ya shughuli hiyo ambapo sasa ni bayana kwamba tume ya Iebc kamwe haijafikia lengo lake la kuwasajili wapigakura wapya zaidi ya milioni sita. Kulingana na takwimu ambazo runinga ya Citizen imepata baadhi ya maeneo yakiwemo Kiambu, murang’a na Meru yanaongoza kwa viwango vya wakenya waliojitokeza kujisajili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories