Utabiri wa hali ya hewa waonesha ukame utaendelea

Watu zaidi ya milioni 1.3 wataendelea kutegemea chakula cha msaada kwa miezi sita ijayo. Hali hii imesababishwa na mvua kidogo iliyonyesha katika msimu uliopita ambapo inatabiriwa kuwa kuanzia sasa hadi mazao yapatikane mwezi wa sita hivi, maeneo yaliyoathirika na baa la njaa yataendelea kuhitaji chakula. Umoja wa mataifa umetabiri kutakuwepo na makali ya ukame nchini mwaka huu.

Tags:

ukame mvua Kiangazi njaa maji hali ya hewa Januari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories