Utekaji nyara Narok
Published on: January 11, 2017 08:24 (EAT)
Mama mmoja kutoka kijiji cha fanaka kaunti ya narok yuko katika njia panda kwani haelewi ni vipi mtoto wake wa mwaka mmoja na nusu alivyopotea anakumbuka vyema kuabiri gari la umma akiwa naye na kuelekea hospitalini ila akajikuta mjini kisii,na sasa kilio chake ni kimoja tu,arudishiwe mtoto wake.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment