Uwanja wa Kasarani washeheni shamra shamra za Jubilee
Published on: September 10, 2016 08:52 (EAT)
Ni wangapi wanaopata fursa ya kuketi kwenye kiti cha rais? Ni wangapi wanaopata nafasi ya kumdokezea rais kisha kumpa waraka waliomwandikia? Haya yote yalishuhudiwa siku ya leo kwenye kongamano la chama kipya cha Jubilee katika uwanja wa michezo wa Kasarani na kama Anne Mawathe anavyotuarifu, ilikuwa siku ambayo vyama vilivunjiliwa mbali ikiwa ni kimoja kinachoitwa chama cha Mafisi
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment