VIDEO: Tohara Ya Mjini, Utamaduni wa Wabukusu wa tohara sasa waingia mjini
Published on: August 05, 2016 08:26 (EAT)
Huku shughuli za upashaji tohara katika jamii ya wabukusu zinapozidi kunoga katika kaunti za Busia,Kakamega na Transnzoia,kaunti ya Nairobi haikusalia nyuma.Katika mtaa wa Kawangware hapa jijini Nairobi,mila na tamaduni hizo za kibukusu zilichukua nafasi yake katika boma lake Ken Manyonge ambapo mwanao Jared Wafula alitayarishwa kukabiliana na kisu cha ngariba alfajiri na mapema
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment