VIDEO: Zawadi Ya Macho: Baadhi ya watu hutoa macho yao kama msaada wanapofariki

Je, wajua kwamba unaweza kuhiari kutoa konea zako na kumsaidia mtu ili awe na uwezo wa kuona utakapofariki? Wakenya wengi hawajakumbatia suala hilo,labda kutokana na itikadi zao, licha ya kuwa huduma ya kupandikiza konea ipo nchini.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories