Vigogo wa NASA wakariri mpango wa kulinda kura
Published on: July 22, 2017 09:12 (EAT)
Muungano wa NASA umemsuta Kaimu waziri wa usalama Fred Matiangi kutokana na matamshi yake hapo jana kwamba walinzi wa NASA katika kila kituo cha kupigia kura hawataruhusiwa kukaribia vituo hivyo. Seneta wa Siaya James Orengo anasema Matiang’i anatoa mfano kuwa serikali inanuia kujiingiza kwenye maandalizi ya uchaguzi kazi ambayo inafaa kuwachiwa tume ya IEBC.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment