Vijana 97 huambukizwa virusi vya UKIMWI kila siku
Published on: October 27, 2016 09:25 (EAT)
Vijana 97 walio na kati ya umri wa miaka 15 na 24 huambukizwa virusi vya ukimwi kila siku. Haya ni kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na baraza la kitaifa la kuthibiti ugonjwa wa UKIMWI. Takwimu hizo zaonyesha kuwa vijana hao wamechangia asilimia 51 ya maambukizi mapya. Kaunti za Busia na Bungoma zikiongoza kwa maambukizi mapya.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment