Vijana wanaotumia mihadarati wako mashakani
Published on: May 14, 2017 08:28 (EAT)
Vijana kumi walioathirwa na dawa za kulevya wameuwawa kwa kuchomwa moto chini ya miezi minne iliyopita na wakazi wa diani kaunti ya kwale.
Wakazi wanadai kuwa vijana hao wamewahangaisha mno kwa kuwaibia mali nyumbani mwao. na kama anavyotueleza mwanahabari wetu wa kwale nicky gitonga waraibu wa mihadarati wamepoteza matumaini ya kuishi kwani bado serikali haijatimiza ahadi ya kuwajengea kituo cha kuwarekebisha tabia
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment