Vinara wa NASA wahudhuria mazishi Bungoma
Published on: September 16, 2017 10:15 (EAT)
Audio By Vocalize
Nao muungano wa Nasa leo umekariri kwamba hautakubali kampuni ya Safran Morpho kushughulikia uchaguzi wa urais ukisema kwamba walihusika pakubwa katika wizi unaodaiwa ulitokea. Matamshi haya yanajiri muda mfupi baada ya kampuni hiyo ya Safran kujiondoa lawamani ikidai kwamba hakuna udukuzi uliofanyika.


Leave a Comment