Viongozi na wadau wa ardhi wakongamana ikulu
Serikali imehakiki kwamba iko katika mkondo ufaao kulainisha masaibu yaliyozonga wizara ya ardhi kwa miaka na mikaka licha ya changamoto za ufisadi.
Kwenye kongamano la ardhi lililoandaliwa katika ikulu ya nairobi, waziri wa ardhi Jacob Kaimenyi na mwenyekiti wa baraza la kitaifa la ardhi mohammed swazuri waliahidi kutoa hati miliki millioni 3 kwa wenyemashamba kufikia mwezi juni mwaka ujao.
Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi, kwa mara nyingine tena idara ya mahakama ilikashifiwa vikali kwa kulemaza juhudi za kupambana na wanyakuzi wa ardhi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment