Viongozi wa kidini watoa wito wa kudumishwa amani

Viongozi wa kidini wakiwemo kutoka baraza kuu la waislamu nchini Kenya – Supkem na wale wa makanisa wamewasihi wagombea katika uchaguzi ujao kuendesha  kampeni zao kwa njia za amani. Aidha viongozi hao wameitaka serikali kuhakikisha usalama na amani wakati taifa linapoelekea kwenye debe mwaka huu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories