Viongozi wa NASA wafanya kampeni Nakuru

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga sasa amesema serikali ya Jubilee imeshindwa kudhibiti ufisadi nchini na hivyo hawapaswi kuchaguliwa tena. Odinga ambaye aliongoza siasa za NASA katika kaunti ya Nakuru amesema kuwa ni ufisadi ndio imepelekea kufungwa kwa viwanda vingi kaunti hiyo hivyo kupoteza ajira. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories