Viongozi wa NASA wakabiliwa wakijaribu kumnasua Babu Owino

Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ataendelea kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Parklands hadi siku ya Jumatatu atakapofikishwa mahakamani. Polisi hii leo walidinda kumuachilia Babu Owino hata baada ya vinara wa NASA Raila Odinga na Moses Wetangula kufika katika kituo cha polisi cha Parklands kumtaka awachiliwe.

Tags:

raila odinga Babu Owino NASA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories