Viongozi wa NASA walazimika kufuta mkutano wao Meru

Mkutano wa kisiasa wa muungano wa NASA uliokuwa ufanyike katika eneo la Laare kaunti ya Meru ulitibuka ghafla. Vinara wa NASA ambao walikuwa wameeleka katika uwanja wa ndege wa Wilson tayari kwa safari, walilazimika kuahirisha ziara hiyo kwani wafuasi wa Jubilee na NASA walikuwa wanakabiliana vikali katika eneo la mkutano.

Tags:

raila odinga Peter Munya meru NASA Laare

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories