Viongozi wajumuika kumpa Gachagua heshima za mwisho

Hatimaye aliyekuwa gavana wa nyeri james nderitu gachagua amezikwa hii leo katika mazishi yaliyoandaliwa nyuymbani kwake katika eneo bunge la mathira, kaunti ya nyeri. Waliohudhura mazishi hayo wakiwemo rais Uhuru Kenyatta, kinara wa upinzani Raila Odinga na Rais mstaafu Mwai Kibaki, walimtaja mwendazake kama kiongozi shupavu aliyesisitiza haja ya maendeleonchini pamoja na kutetea ugatuzi katika kaunti. Stephen letoo na taarifa hiyo

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories