Vita dhidi ya mihadarati

Maafisa wa polisi wanawazuilia wamewakamata watu 9 kwa tuhuma za kuhusika na biashara ya ulanguzi wa mihadarati katika kaunti za mombasa na kilifi. Polisi walifanikiwa kuapata   kilo 15 za  heroine  na shilingi milioni 18 kutoka kwa washukiwa hao.  Mwanahabari wetu gatete njoroge na taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories