Viwango vya ushuru kupunguzwa kidogo kuanzia Januari

Mapema mwaka ujao wakenya watafaidikia kutokana na mabadiliko katika mfumo wa utozaji ushuru. Kupanuliwa kwa asilimia kumi kwa viwango vya utozaji ushuru sawa na kuongezeka kwa msaada wa ushuru kutasababisha kupungua kwa kiwango cha ushuru wanachotozwa wakenya wanaolipwa mishahara.

Tags:

KRA personal relief tax brackets

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories