Vurumai lazuka katika shule ya upili ya Friends, Kamusinga

Wakaazi wa eneo la Bungoma wakiongozwa na baadhi ya wawakilishi wa wadi wa eneo hilo hii leo walizua mtafaruku katika shule ya upili ya Friends Kamusinga wakitaka kumfurusha mwalimu mkuu mpya. Wakaazi hao waliokuwa ghadhabu wanasema tajriba ya mwalimu huyo mpya haiambatani na hadhi ya shule hiyo.

Tags:

headteachers transfers Friens School Kamusinga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories