Wabunge 348 na maseneta 67 waapishwa

Bunge limeanza vikao vyake hii leo baada ya kuapishwa kwa wabunge. Hata hivyo kuapishwa kwa wabunge hakukukosa hitilafu na vioja pale ambapo mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino alipoapa kwa jina la Raila Odinga.

Tags:

ken lusaka National Assembly justin muturi bunge la taifa seneti

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories