Wabunge kutoka pwani walalamikia kutengwa kwenye uongozi wa NASA

Muungano wa NASA hatimaye umewasilisha majina ya viongozi wao bungeni huku bunge likirejelea vikao vyake leo. Katika orodha hiyo, mbunge wa Suba Kusini John Mbadi akiteuliwa kuwa kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa na Seneta Moses Wetangula katika seneti. Hata hivyo kumezuka mgawanyiko huku wabunge kutoka pwani wakilalamikia kutengwa katika nyadhifa hizo.

Tags:

NASA John Mbadi Mishi Mboko Minority leader

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories