Wabunge wa kaunti wakabana mashati, Nairobi

Vurumai lilizuka katika bunge la kaunti ya Nairobi pale waakilishi wa wodi wa mrengo wa CORD walipomvamia mmoja wao ili kumzuia kuwasilisha hoja ya kumtaka gavana Evans Kidero ang’atuliwe. Zogo hilo lilisababisha kikao cha bunge kukatizwa lakini mjumbe wa viwandani Samuel Nyangwara ambaye ametajwa kama msaliti anasisitiza kuwa hatishiki na anarejesha mswada huo tena bungeni.

Tags:

CORD Nairobi Dr Evans Kidero Wabunge MCAs

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories