Wafuasi wa Gavana Ruto wataka Nkaissery awajibike

Wafuasi wa gavana wa kaunti ya bomet Isaac Ruto waliandamana hii leo na kumtaka waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaisery kuomba msamaha kwa niaba ya maafisa wa polisi waliomshambulia gavana huyo siku chache zilizopita.

Tags:

Isaac Ruto Bomet

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories