Wafuasi wa Nasa hawako radhi na uamuzi uliotolewa

Siku moja baada ya NASA kutangaza kuahirisha shughuli ya kumuapisha Raila Odinga hapo kesho na badala yake kusema kuwa tarehe mpya kwa ajili ya shughuli hiyo itatangazwa baadaye, wafuasi wa mrengo huo wanaeleza kutamaushwa kwao na hatua hiyo. Ismail Ochieng, mfuasi sugu wa mrengo huo anawakilisha sauti ya Wana NASA wengi ambao kwa sasa wanaonekana kuachwa njia-panda.

Kadzo Gunga anasimulia zaidi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories