Wafungwa 30 waachiliwa huru katika gereza la Kamiti

Mfungwa aliyehusika kujenga viti vya waheshimiwa vikiwemo vile vya bunge la taifa ni miongoni mwa wafungwa 30 walioachiliwa huru katika gereza kuu la Kamiti kufuatia msamaha wa rais. Na kama anavyotufahamisha Simon Kigamba, baadhi ya wafungwa hao walibubujikwa na machozi ya furaha walipoungana tena na jamaa na marafiki zao.

Tags:

Kamiti prison jela ya kamiti Wafungwa waachiliwa huru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories