Wafungwa waliosamehewa na Rais leo waachiliwa huru

Kikundi cha pili wa wafungwa waliohukumiwa kwa makosa madogo madogo walichiliwa leo kufuatia msamaha wa rais. Rais aliagiza wafungwa hao 7, 000 wachiliwe hapo jana. Mwanahabari wetu Denis Otieno alitembea kwa baadhi ya jela hizi na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Tags:

Rais Uhuru Kenyatta wafungwa kamiti

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories