Wagombea watatu wa urais waidhinishwa na IEBC
Published on: May 28, 2017 09:17 (EAT)
Wawaniaji watatu wa urais wameidhinishwa kuwa wagombeaji kaitka uchaguzi wa agosti mwaka huu wakiwemo kinara wa nasa Raila Odinga. Tume ya uchaguzi ya iebc iliwapokea wawaniaji wanne lakini ikawalazimu kumrejesha mgombeaji huru joseph nyaga baada ya kutotimiza matakwa ya IEBC.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment