Wagonjwa wateseka katika hospitali za umma

Mtazamaji ni siku 26 tangu mgomo wa wauguzi  kuanza kote nchini. Wagonjwa wameendelea kuhangaika katika vituo vya afya hali ambayo imesababisha wagonjwa kutafuta huduma katika hospitali za kibinafsi ila kwa taabu.

Tags:

Seth Panyako Nurses strike mgomo wa wauguzi wauguzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories