Wahadhiri watangaza kususia kazi kuanzia hii leo
Published on: November 01, 2017 08:05 (EAT)
Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wametangaza kuanza rasmi mgomo wao hii leo na kudai serikali iliwachezea shere baada ya kuwaahidi kuwalipa mishahara na marupurupu yao. Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu Makori Ongechi, hatua hiyo inakuja wakati ambapo vyuo vikuu vililenga kurejelea masomo yao baada ya kufungwa kwa kipindi kifupi kutokana na zoezi la marudio ya kura za urais
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment