Wajue kabila la Ogiek

Wamedharauliwa kwa zaidi ya miongo mine, mtazamaji sio wengine bali watu kutoka jamii ya waogiek…
Baada ya kushinda kesi iliyobaki mahakamani kwa zaidi ya miaka ishirini hakuna kilichobadilika licha ya korti hiyo kuamuru kuwa warejeshewe kilicho chao.
Mwanahabari saida swaleh alikutana nao na kutuandalia makala ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories