Wajumbe MCA Wamuunga Mkono Kalonzo

Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amepata kuungwa mkono na baadhi ya wanachama wa bunge za kaunti za Machakos na Makueni katika uamuzi aliochukuwa wa kuwaondoa kutoka nyadfa za viongozi wa waliowengi Francis Mutuku na Joshua Monga. Wanachama hao wanasisitiza kuwa lazima msimamo wa chama ufuatwe na yeyote anayekiri kuwa mwana Wiper.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories