Wakazi wa Kwale wauziwa dawa za kulevya sokoni
Published on: February 10, 2017 08:04 (EAT)
Baadhi ya waathiriwa wa dawa za kulevya katika eneo la Diani kule Msambweni kaunti ya Kwale wanajaribu kubadilisha mkondo wa maisha yao, kwa kufanya usafi katika miji ya Ukunda na Diani kila siku, ili kujiepusha na majaribu ya kutumia mihadarati. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Nickky Gitonga idadi ya vijana wanaotumia dawa za kulevya kaunti ya Kwale imeongezeka kutoka 3,500 hadi 4,200 katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment