Wakazi wa Magarini kaunti ya Kilifi wahangaishwa na viboko

Wenyeji wa eneo la Sabaki Magarini kaunti ya Kilifi, wanaishi kwa hofu kutokana na hatari ya kuwepo viboko wanaowahangaisha vijijini. Viboko hao wamekuwa kero kwa wakulima na usalama wa chakula, kwani wanaharibu mimea shambani.

Tags:

kiboko Kilif Magarini

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories