Wakazi wa Nairobi wanahangaika kupata unga

Haya yanajiri huku mengi ya maduka ya rejereja sawa na yale ya jumla humu nchini yakiandikisha uhaba wa unga wa mahindi.
Runinga ya Citizen iliweza kuwahoji baadhi ya wauzaji na wateja wao na walikuwa na haya ya kusema.

Tags:

UNGA Ugali mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories