Wakazi wa Turkana hatarini ya kushambuliwa na mamba wanapovuka Mto Turkwel

Wakazi zaidi ya elfu kumi wanaoishi katika vijiji vya Nakwomoru,Kapelbok, Juluk na Lomerimudang huko Turkana Kusini, wanaendelea kuhatarisha maisha wanapovuka mto Turkwell wenye mamba wengi.
Daraja la mto huo lilisombwa na mafuriko na hivyo inawabidi wakazi kuongelea hadi ng’ambo ya pili wakivuka mto huo.

Tags:

turkana Turkwel

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories