Wakazi wa Vumba kaunti ya Kwale walalamikia vumbi
Published on: November 04, 2017 09:07 (EAT)
Wakazi Wa Kijiji Cha Vumbu Wanalalamikia Vumbi ambalo huingia ndani ya Makazi Yao Kutoka Kwenye migodi ya Kampuni Ya Uchimbaji Madini Ya Base Titanium Iliyokaribu Na Kijiji Hicho. Kulingana nao, vumbi hilo limewaletea madhara ya kiafya pamoja na kuharibu mazingira.
Comments
No comments yet.
Leave a Comment