Wakongwe wa Nandi

Tarehe ya kuzaliwa huwa na umuhimu mkuu kwa wengi… baadhi wakisherekea kwa kukata keki na hata kujiliwaza kwa njia nyingi. Lakini kwa wakongwe kutoka bonde la ufa wengi hawajui siku zao za kuzaliwa na kutumia mbinu nyingine ya kujua umri wao. Saida swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories