Wakongwe wengi wajiunga na shule Turkana

Kulingana na ripoti ya shirika la kuhifadhi takwimu za taifa humu nchini, KNBS, watu wazima zaidi ya asilimia sabini wa kaunti ya Turkana hawajui kusoma wala kuandika. Hata hivyo sasa mambo yameanza kubadilika na watu wazima wengi ambao hawakusoma wamejiunga na shule za elimu nya watu wazima yaani ngumbaru.

Tags:

Lokichogio AIC secondary school ngumbaru Turakana

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories