Wakulima wa mahindi Trans Nzoia wageukia miwa

Huenda mahindi yanayokuzwa humu nchini yakapungua kwa kiwango kikubwa. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wakuilima wengi wa mahindi katika kaunti ya Trans Nzoia wamegeukia kilicho cha miwa wanayodai ina faida zaidi ya mahindi.

Tags:

maize SUGAR CANE TRANS NZOIA mahindi Miwa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories