Walimu wa kiwango cha P1 wapandishwa hadhi

Walimu wote wa kiwango cha chini cha P1 sasa wamepandishwa ngazi na kuwekwa kwenye kiwango cha H. Hii inamaanisha kuwa walimu hao sasa watapata mshahara ulioimarika.

Tags:

walimu Walimu wa p1

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories