Walimu wapinga mapendekezo ya serikali
Published on: December 05, 2017 08:03 (EAT)
Huku wizara ya elimu ikiweka mikakati ya elimu bila malipo kwa shule za pili upinzani umeanza kutokota kutoka kwa baadhi ya walimu wakuu kutokana na agizo la waziri Matiang’i la kuwa na mwalimu mkuu mmoja kwa shule za msingi na upili zinazotumia ua mmoja.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment