Walimu washikwa wakifunza masomo ya ziada
Published on: November 23, 2016 07:44 (EAT)
Wizara ya elimu imetwaa leseni ya kuhudumu ya shule ya Happy Land iliyoko mtaani buruburu. Hii ni baada ya waalimu katika shule hiyo kufumaniwa wakiendeleza masomo ya ziada .
Kwingineko huko Kikuyu maafisa wa wizara ya elimu waliwakamata walimu waliokuwa wakifunza masomo hayo hayo ya ziada ambayo ni kinyume na sheria.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment