Walinzi wane wa Gavana Mutua wafariki

Watu wanne wakiwemo maafisa wawili wa polisi wa utawala ambao walikuwa wamempa ulinzi mke wa gavana wa Machakos Lilian Nganga kutoka Machakos hadi Mlolongo walifariki baada ya gari lao kuhusika katika ajali ya barabarani katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa.

Tags:

machakos county Alfred Mutua Lilian Nganga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories