Waliopigania Uhuru wadai kutengwa katika sherehe za Mashujaa
Published on: October 20, 2016 11:36 (EAT)
Wakati shamra shamra zilipokuwa zikiendelea katika uwanja wa michezo wa Kenyatta huko Machakos, baadhi ya wazee wengine wanaodai kupigania uhuru wa taifa hili walijihisi kutengwa na kutopewa hadhi wanayostahili. Hali hiyo ilisababishwa na mpangilio duni wa kuingia katika uwanja huo huku mwanamke mmoja akipoteza maisha yake baada ya vurugu kuzuka katika lango kuu.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment