Wanafunzi 10 watiwa nguvuni kwa ulevi, Tetu

Wanafunzi kumi kutoka shule ya upili ya Tetu katika kaunti ya Nyeri, wametiwa mbaroni na maafisa wa polisi mjini Nyeri baada ya kupatikana wakizurura mitaani wakiwa walevi.Vijana hao ambao ni wavulana tisa na msichana mmoja walipatikana pia wakiwa na miraa pamoja na misokoto ya bangi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories