Wanafunzi Kadhaa Wajeruhiwa Katika Maandamano

Wanafunzi watano wa shule ya msingi ya Lang’ata hii leo walifikishwa katika hospitali ya Lang’ata baada ya kujeruhiwa kufuatia hatua ya polisi kutumia vitoa machozi kuwatawanisha waandamanji miongoni mwao wakiwa wanafunzi waliokuwa wakilalamikia kunyakuliwa kwa ardhi inayodaiwa kuwa uwanja wao wa kuchezea

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories