Wanafunzi wanaoingia sekondari wafika shuleni

Wanafunzi waliofuzu na kuitwa katika shule za sekondari wameanza kuingia shuleni hii leo huku kaimu waziri wa elimu daktari Fred Matiang’i akifafanua ulipaji wa karo miongoni mwa wanafaunzi hao baada ya serikali kutangaza mfumo wa elimu bila malipo. Aidha wazazi wameendelea kulalamikia hatua ya baadhi ya shule kuwaagiza kununua sare za shule kutoka maduka maalum.

Tags:

Fred Matiang'i Form One

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories