Wanajeshi wa KDF wauwa wanamgambo 57 wa Al-Shabaab

Hali ya taharuki imetanda hii leo katika kambi ya wakimbizi ya Hagdera baada ya waalimu wasita wa shule ya kibinafsi ya udha kutekwa nyara na watu wasiojulikana ambao walikuwa wamejihami kwa bunduki. Huku hayo yakijiri wanamgambo hamsini na saba wa Al Shabaab wameuawa na wanajeshi wa KDF chini ya kikosi cha AMISOM hii leo baada vita kali kuzuka baina ya majeshi hao wa KDF na wanamgambo wa Al Shabaab mita chache kutoka eneo la Afmadow, nchini Somalia.

Tags:

KDF Al Shabaab somalia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories